Post

Vice President Osinbajo Sighted At Reddington Hospital, Lagos

All might not be well healthwise with Vice President, Prof Yemi Osinbajo who visited Reddington Hospital, Lagos on Saturday. The Reddington Hospital is a Multi-Specialist tertiary hospital that provides care in a wide range of areas which include Advanced Cardiology, Internal Medicine, Diabetes, Endocrinology, Neurology, Gastroenterology as well as offering services in General Surgery, ENT, Paediatrics, Obstetrics, Gynaecology, and other clinical specialisms. Osinbajo’s decision to visit the specialist hospital has set tongues wagging as to the reason for his visit.

William Ruto: Sijawahi Hitaji Ruhusa Kutoka kwa Yeyote Kusafiri Nje ya Nchi

William Ruto alisema kuwa hatua ya kuzuia safari yake ya Uganda ilikusudiwa kumsukuma kuzozana na watu wengine serikalini Ruto alisema urafiki wake na Museveni umeonekana kuwanyima usingizi watu wengineAlibainisha kwa kipindi amekuwa naibu rais hajawahi hitajika kuomba rhusa kwa yeyote kwenda nje ya nchiNaibu Rais William Ruto amesema hajawahi hitajika kuomba ruhusa kutoka kwa mtu yeyote kusafiri nje ya nchi kwa miaka tisa ambayo amekuwa katika cheo hicho. Hisia za Ruto zinajiri kufuatia agizo la hivi karibuni lililomzuia kusafiri kwenda Uganda baada ya maafisa wa uhamiaji kukataa kumpa idhini katika uwanja wa ndege wa Wilson.